Kenya, Uganda na Rwanda wachafua hali ya hewa
HALI ya mambo imezidi kuwa tete
katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya Tanzania na Burundi kutaka
maelezo ya kina kutoka kwa nchi nyingine tatu wanachama za Kenya, Uganda na
Rwanda zilizoanzisha ushirikiano mpya kinyemela kati yao, kwa kuzitenga nchi
hizo mbili.Katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita kumekuwa na mfululizo wa
matukio yanayoashiria kuwa Tanzania na Burundi zimetengwa na nchi hizo tatu
ambazo zimeanzisha ushirikiano mpya kati yao kinyemela, kinyume cha mkataba
ulioanzisha Jumuiya hiyo mwaka 1999.Jumuiya
ya sasa ilizaliwa tena upya Novemba 30, mwaka 1999 ikishirikisha nchi za
Tanzania, Uganda na Kenya, wakati Rwanda na Burundi zilikaribishwa baadaye
mwaka 2008.Jumuiya hiyo mpya ilizaliwa baada ya ile ya awali iliyoanzishwa
mwaka 1968 kuvunjika mwaka 1977 kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kushindwa
kuelewana kwa wakuu wa nchi wanachama kwa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere
(Tanzania), Jommo Kenyatta (Kenya) na Idd Amin (Uganda).Habari za hivi karibuni
zilizopatikana kutoka ndani ya EAC zinabainisha kwamba Tanzania na Burundi
zimekerwa na hatua ya nchi wanachama wenzao za Kenya, Uganda na Rwanda kuanza
mchakato wa kuanzisha shirikisho la kisiasa bila ya kuzishirikisha nchi hizo.Tanzania
na Burundi zinaelezwa kuwa kupitia kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika
Agosti 31, mwaka huu, mjini Arusha zilimtaka Mwenyekiti wa Baraza hilo, Shem
Bageine, kutoka Uganda kutoa maelezo ya kina kuhusu hatua za nchi hizo tatu
kufanya mambo ambayo yanakwenda kinyume cha mkataba wa Jumuiya hiyo.Taarifa
zinaeleza kuwa hata hivyo Bageine hakuwa na majibu muafaka kuhusu hatua hiyo na
ndipo nchi hizo mbili zilipoazimia kuhitaji majibu ya kina zaidi kuhusu suala
hilo katika kikao kijacho kitakachofanyika Novemba, mwaka huu.Pamoja na suala
la kuanzisha mchakato wa shirikisho la kisiasa, nchi hizo tatu pia zinaelezwa
kukubaliana kuanzisha ushirikiano katika eneo la kukusanya kodi (single costumes territory).Masuala mengine
ambayo yanaelezwa kutozifurahisha nchi za Tanzania na Burundi ni hatua yao ya
kukubaliana kuwa na visa moja kwa watalii watakaotembelea nchi hizo, kuimarisha
miundombinu hasa ujenzi wa reli kutoka Bandari ya Mombasa-Kenya hadi Kigali
Rwanda kupitia Kampala-Uganda.Moja wa maofisa wa EAC ambaye ni Mtanzania (jina
linahifadhiwa) alilimbia gazeti hili la Raia Mwema kuwa hali ndani ya
sekretarieti ya jumuiya hiyo ni mbaya na hata watumishi kutoka nchi za Tanzania
na Burundi wameanza kutengwa na wenzao.“Kumekuwa na kutokuaminiana miongoni mwa
maofisa wa juu katika jumuiya yetu, watumishi wa Tanzania ni kama tunatengwa na
wenzetu,” alidai mtumishi huyo bila ya kufafanua zaidi.Katika mkutano wake na
waandishi wa habari mwezi uliopita Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya EAC, Dk.
Richard Sezibera, alikanusha madai kuwa hali si shwari ndani ya Jumuiya
anayoiongoza.Dk. Sezibera alikaririwa akisema: “Hali ni shwari katika jumuiya
na kila kitu kinakwenda vizuri kulingana na mkataba wa jumuiya tofauti
zinazojitokeza ni za kawaida katika jumuiya yoyote ile ya watu kutofautiana
mawazo.”!Taarifa zinaeleza kuwa katika utetezi wake, Bagaine ambaye pia ni
Waziri wa Afrika Mashariki nchini Uganda, aliwaeleza washiriki wa kikao hicho
kuwa mikutano iliyowakutanisha viongozi wakuu wa nchi hizo tatu iliratibiwa na
wizara za mambo nje katika nchi husika.Waziri huyo alieleza kuwa kwa kawaida
mikutano inayohusiana na masuala ya Afrika Mashariki huratibiwa na wizara
husika katika kila nchi, lakini kwa suala hilo ilikuwa kinyume hivyo asingekuwa
na majibu muafaka.“Kutokana na mgongano uliojitokeza ujumbe wa Tanzania ulitaka
upewe maelezo yanayotosheleza katika kikao kijacho cha Baraza la Mawaziri
kinachotarajiwa kufanyika mapema Novemba, mwaka huu, kabla ya kikao cha wakuu
wa nchi ambao watakutana Novemba 30,” kinaeleza chanzo chetu cha habari.Akizungumzia
mzozo huo aliyekuwa Waziri wa kivuli wa Afrika Mashariki kutoka Kambi Upinzani
Bungeni- CHADEMA, Mustafa Akonaay, alisema ilikuwa mapema kwa nchi wanachama
waanzilishi wa jumuiya kuziruhusu Rwanda na Burundi kujiunga na jumuiya hiyo.“Hizi
nchi mbili zilikuwa na matatizo ya ndani ya kiutawala baada ya kupigana vita
vya wenyewe kwa wenyewe kwa muda mrefu, hivyo ilikuwa ni mapema sana kuziruhusu
kujiunga na jumuiya wakati bado zina matatizo ya ndani,” alieleza Akonaay.Naye
mwanzuoni maarufu katika diplomasia, Profesa Abdallah Safari, anasema katika
msuguano huo kuna taarifa za muda mrefu kuwa baadhi ya wakuu wa nchi za Afrika
Mashariki wanataka kuharakisha shirikisho la kisiasa kwa maslahi yao wenyewe.“Tetesi
kuhusu suala hilo ni za muda mrefu na kulikuwa na mipango ya kupanua kitu
kinachoitwa dola ya Wahima (Hima Empire) katika eneo la Maziwa Makuu hadi
Tanzania, kuna uwezekano mipango hiyo bado iko vichwani mwa viongozi hao,”
anasema Profesa Safari.Anaongeza kusema; “Wakati mwingine sisi Watanzania ni
chanzo cha kuanza kutengwa na wenzetu kutokana na kushamiri kwa tabia ya
urasimu, uzembe na wizi katika sekta mbalimbali za umma na hata kushindwa
kwenda sambamba na wenzetu ambao wanadhamira ya kufanya mambo kwa weledi
zaidi.”!Akitoa mfano Profesa huyo anasema katika sekta ya biashara Tanzania
imeshindwa kuondoa urasimu katika Bandari ya Dar es Salaam kiasi cha
wafanyabiashara kutoka nchi jirani wanaoitumia kusafirisha bidhaa zao kupata
hasara.
“Mlolongo huo wa mambo yasiyo na msingi unasababisha
usumbufu kwa wafanyabiashara wengi wanaopitisha bidhaa zao katika ardhi ya
Tanzania na bidhaa hizo hupanda bei marudufu katika masoko zinakopelekwa na
hivyo kuongeza gharama kwa watumiaji,”!Katika hatua nyingine, alidai hatua ya
Tanzania kuanza kutengwa inatokana na uongozi dhaifu wa serikali.“Hili la Rais
kusafiri sana nalo ni tatizo na wenzetu wameona sisi kama Taifa hatuko
makini na wametumia mwanya huo kutaka
kujitenga, kama kuna uongozi imara wasingethubutu kuanza kufanya mambo kama
hayo kwa mlango wa nyuma,” anasema Profesa Safari.Hata hivyo, kwa mujibu wa
Profesa Safari, ni vigumu kwa shirikisho hilo la kisiasa kufanikiwa haraka
kutokana na changamoto kadhaa ikiwamo nchi husika kuwa na matatizo ya ndani,
hasa ya kidemokrasia ambayo yalitakiwa kupatiwa ufumbuzi kwanza.
- Kenya, Uganda na Rwanda wachafua hali ya hewa
HALI
ya mambo imezidi kuwa tete katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),
baada ya Tanzania na Burundi kutaka maelezo ya kina kutoka kwa nchi
nyingine tatu wanachama za Kenya, Uganda na Rwanda zilizoanzisha
ushirikiano mpya kinyemela kati yao, kwa kuzitenga nchi hizo mbili.
Katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoashiria kuwa Tanzania na Burundi zimetengwa na nchi hizo tatu ambazo zimeanzisha ushirikiano mpya kati yao kinyemela, kinyume cha mkataba ulioanzisha Jumuiya hiyo mwaka 1999.
Jumuiya ya sasa ilizaliwa tena upya Novemba 30, mwaka 1999 ikishirikisha nchi za Tanzania, Uganda na Kenya, wakati Rwanda na Burundi zilikaribishwa baadaye mwaka 2008.
Jumuiya hiyo mpya ilizaliwa baada ya ile ya awali iliyoanzishwa mwaka 1968 kuvunjika mwaka 1977 kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kushindwa kuelewana kwa wakuu wa nchi wanachama kwa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere (Tanzania), Jommo Kenyatta (Kenya) na Idd Amin (Uganda).
Habari za hivi karibuni zilizopatikana kutoka ndani ya EAC zinabainisha kwamba Tanzania na Burundi zimekerwa na hatua ya nchi wanachama wenzao za Kenya, Uganda na Rwanda kuanza mchakato wa kuanzisha shirikisho la kisiasa bila ya kuzishirikisha nchi hizo.
Tanzania na Burundi zinaelezwa kuwa kupitia kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Agosti 31, mwaka huu, mjini Arusha zilimtaka Mwenyekiti wa Baraza hilo, Shem Bageine, kutoka Uganda kutoa maelezo ya kina kuhusu hatua za nchi hizo tatu kufanya mambo ambayo yanakwenda kinyume cha mkataba wa Jumuiya hiyo.
Taarifa zinaeleza kuwa hata hivyo Bageine hakuwa na majibu muafaka kuhusu hatua hiyo na ndipo nchi hizo mbili zilipoazimia kuhitaji majibu ya kina zaidi kuhusu suala hilo katika kikao kijacho kitakachofanyika Novemba, mwaka huu.
Pamoja na suala la kuanzisha mchakato wa shirikisho la kisiasa, nchi hizo tatu pia zinaelezwa kukubaliana kuanzisha ushirikiano katika eneo la kukusanya kodi (single costumes territory).
Masuala mengine ambayo yanaelezwa kutozifurahisha nchi za Tanzania na Burundi ni hatua yao ya kukubaliana kuwa na visa moja kwa watalii watakaotembelea nchi hizo, kuimarisha miundombinu hasa ujenzi wa reli kutoka Bandari ya Mombasa-Kenya hadi Kigali Rwanda kupitia Kampala-Uganda.
Moja wa maofisa wa EAC ambaye ni Mtanzania (jina linahifadhiwa) alilimbia gazeti hili la Raia Mwema kuwa hali ndani ya sekretarieti ya jumuiya hiyo ni mbaya na hata watumishi kutoka nchi za Tanzania na Burundi wameanza kutengwa na wenzao.
“Kumekuwa na kutokuaminiana miongoni mwa maofisa wa juu katika jumuiya yetu, watumishi wa Tanzania ni kama tunatengwa na wenzetu,” alidai mtumishi huyo bila ya kufafanua zaidi.
Katika mkutano wake na waandishi wa habari mwezi uliopita Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya EAC, Dk. Richard Sezibera, alikanusha madai kuwa hali si shwari ndani ya Jumuiya anayoiongoza.
Dk. Sezibera alikaririwa akisema: “Hali ni shwari katika jumuiya na kila kitu kinakwenda vizuri kulingana na mkataba wa jumuiya tofauti zinazojitokeza ni za kawaida katika jumuiya yoyote ile ya watu kutofautiana mawazo.”!
Taarifa zinaeleza kuwa katika utetezi wake, Bagaine ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki nchini Uganda, aliwaeleza washiriki wa kikao hicho kuwa mikutano iliyowakutanisha viongozi wakuu wa nchi hizo tatu iliratibiwa na wizara za mambo nje katika nchi husika.
Waziri huyo alieleza kuwa kwa kawaida mikutano inayohusiana na masuala ya Afrika Mashariki huratibiwa na wizara husika katika kila nchi, lakini kwa suala hilo ilikuwa kinyume hivyo asingekuwa na majibu muafaka.
“Kutokana na mgongano uliojitokeza ujumbe wa Tanzania ulitaka upewe maelezo yanayotosheleza katika kikao kijacho cha Baraza la Mawaziri kinachotarajiwa kufanyika mapema Novemba, mwaka huu, kabla ya kikao cha wakuu wa nchi ambao watakutana Novemba 30,” kinaeleza chanzo chetu cha habari.
Akizungumzia mzozo huo aliyekuwa Waziri wa kivuli wa Afrika Mashariki kutoka Kambi Upinzani Bungeni- CHADEMA, Mustafa Akonaay, alisema ilikuwa mapema kwa nchi wanachama waanzilishi wa jumuiya kuziruhusu Rwanda na Burundi kujiunga na jumuiya hiyo.
“Hizi nchi mbili zilikuwa na matatizo ya ndani ya kiutawala baada ya kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa muda mrefu, hivyo ilikuwa ni mapema sana kuziruhusu kujiunga na jumuiya wakati bado zina matatizo ya ndani,” alieleza Akonaay.
Naye mwanzuoni maarufu katika diplomasia, Profesa Abdallah Safari, anasema katika msuguano huo kuna taarifa za muda mrefu kuwa baadhi ya wakuu wa nchi za Afrika Mashariki wanataka kuharakisha shirikisho la kisiasa kwa maslahi yao wenyewe.
“Tetesi kuhusu suala hilo ni za muda mrefu na kulikuwa na mipango ya kupanua kitu kinachoitwa dola ya Wahima (Hima Empire) katika eneo la Maziwa Makuu hadi Tanzania, kuna uwezekano mipango hiyo bado iko vichwani mwa viongozi hao,” anasema Profesa Safari.
Anaongeza kusema; “Wakati mwingine sisi Watanzania ni chanzo cha kuanza kutengwa na wenzetu kutokana na kushamiri kwa tabia ya urasimu, uzembe na wizi katika sekta mbalimbali za umma na hata kushindwa kwenda sambamba na wenzetu ambao wanadhamira ya kufanya mambo kwa weledi zaidi.”!
Akitoa mfano Profesa huyo anasema katika sekta ya biashara Tanzania imeshindwa kuondoa urasimu katika Bandari ya Dar es Salaam kiasi cha wafanyabiashara kutoka nchi jirani wanaoitumia kusafirisha bidhaa zao kupata hasara.
“Mlolongo huo wa mambo yasiyo na msingi unasababisha usumbufu kwa wafanyabiashara wengi wanaopitisha bidhaa zao katika ardhi ya Tanzania na bidhaa hizo hupanda bei marudufu katika masoko zinakopelekwa na hivyo kuongeza gharama kwa watumiaji,”!
Katika hatua nyingine, alidai hatua ya Tanzania kuanza kutengwa inatokana na uongozi dhaifu wa serikali.
“Hili la Rais kusafiri sana nalo ni tatizo na wenzetu wameona sisi kama Taifa hatuko makini na wametumia mwanya huo kutaka kujitenga, kama kuna uongozi imara wasingethubutu kuanza kufanya mambo kama hayo kwa mlango wa nyuma,” anasema Profesa Safari.
Hata hivyo, kwa mujibu wa Profesa Safari, ni vigumu kwa shirikisho hilo la kisiasa kufanikiwa haraka kutokana na changamoto kadhaa ikiwamo nchi husika kuwa na matatizo ya ndani, hasa ya kidemokrasia ambayo yalitakiwa kupatiwa ufumbuzi kwanza.

Tufuatilie mtandaoni:
Endelea Kuhabarika
Maoni ya Wasomaji
Historia hujirudia. Chonde
Historia
hujirudia. Chonde yasitupate yale ya 1977 jumuia ya awali ya Afrika
Mashariki iliposambaratika. Sababu zilikuwa tofauti za kiuchumi na
kisiasa. Baada ya miaka miwili Tz na Uganda zikaingia vitani! Kumbe
chokochoko za kisiasa kati ya hizi nchi mbili zilikuwa zikikua tangu Idd
Amin alipompindua Obote mwaka 1971.Tofauti za kiuchumi kati ya Kenya
na Tz kutokana na siasa za ujamaa(tz) na siasa ya
upebari(Kenya)zilisababisha kutoelewana, Kenya ikidhani inacheleweshwa
na Tz. Leo mambo yanaelekea kujirudia. Kuna chokochoko za kisiasa kati
ya Rwanda na Tz. Hatutarajii kunyukana lakini upepo haujakaa sawa.
Bandari ya Dar ni tishio kwa uchumi wa kenya. Kama bidhaa za Uganda na
Rwanda zinaweza kupitia Mombasa Kenya itapumua zaidi. Kwa hali hiyo
sishangai Kenya kuungana na Uganda na Rwanda katika harakati za kuikwepa
bandari ya Dar! Katibu wa sasa wa jumuia hii Sezibera nadhani ni
Myarwanda kama sio mtu wa Uganda. kwa vyovyote vile hawezi kukwepa mbinu
hizi ili kuikomoa Tz. Mbona haya hayakuwepo wakati Mwapachu ni katibu
wa jumuia hii? Rwanda kaingia juzi juzi katika jumuia hii. Sasa anaanza
kuwa mwenyewe! Dunia hii!! Tuwashauri viongozi wetu waache ubinafsi na
wajikite katika kushauriana na kushirikiana ili wawe na nguvu zaidi.
Toa maoni yako
- .Kenya, Uganda na Rwanda wachafua hali ya hewa