Shule za kata zimeendelea kuzorota katika matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa hivi karibuni na mheshimiwa Dk. Charles Msonde katibu wa wzara ya Elimu nchini. Kuzorota huko kwa matokeo ya shule hizi kunatokana na kutokuwa na walimu wa kutosha na vitendea kazi kama vitabu na maabara za kisasa. Shule binafsi zimendelea kufanya vizuri. Je serikali inafanya nini kuhakikisha kwamba inaboresha elimu nchini Tanzania?

No comments:
Post a Comment